POST: DEREVA DARAJA LA II – 3 POST

EMPLOYER: Parliament of Tanzania

APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:  

i.  Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;

iii.  Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

iv.  Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;

v.  Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;

vi. Kufanya usafi wa gari; na

vii. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE  

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Mwombaji awe na Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.

REMUNERATION: PSS B

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI


Post a Comment

Shasahn Media Group 2022.